Mkoa una jumla ya Shule za Msingi 723 ambapo za Serikali ni 523 na binfsi ni 200.
Elimu bure katika Mkoa wangu imeweza kusaidia ongezeko la wanafunzi wanaojiunga na elimu ya Msingi na Sekondari;
(ii) Mwaka 2018 kati ya wanafunzi 29,521 waliofaulu na kupangiwa
shule 27,261 ndio walijiunga na Kidato cha Kwanza hii ni sawa
na 93%.
Hii imesababishwa na kiasi cha fedha kinachotolewa katika shule, mfano kuanzia Januari, 2016 hadi Februari, 2018 zaidi ya shilingi Bilioni 14 zilipelekwa katika shule za Msingi na shilingi Bilioni 32.7 kwa Shule za Sekondari.
Katika kuboresha miundombinu ya shule. Mwaka 2016/2017 zaidi ya shilingi Bilioni 1 zilitolewa kujenga Madarasa na Mabweni ya Kidato cha Tano na Sita katika shule za Mwandeti, Mlangarini, Nainokanoka na Loliondo.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa