KAZI ZILIZOFANYWA NA SEKTA YA ARDHI MKOA KATIKA ROBO YA KWANZA, PILI, YA TATU 2016/2017:
Usuluhisho wa Migogoro ya Ardhi/Mipaka
ii. Kupitia na kushauri juu ya rasimu za mipango miji zinazojulishwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kabla ya kuwasilishwa kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji na Vijij kwa uidhinisho wake kama Sheria ya Mipango Miji Na. 8 ya Mwaka 2007 inavyoelekeza.
iii. Kuhakiki Kupitia Ramani za upimaji.
iv. Kukamilisha uandaaji wa Mpango Kabambe wa Jiji la Arusha.
v. Kuhimiza ukusanyaji wa Kodi na maduhuri yatokanayo na kodi za Ardhi.
vi. Kuhimiza Upimaji wa Maeneo ya Taasisi za Serikali
Mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata barabara mpya kwa kiwango cha lami, zenye urefu wa kilometa 114.7 kwa mchanganuo ufuatao;
(c) Barabara ya Mkonoo yenye urefu wa KM 3 na itagharimu kiasi
cha milioni 101.4
(d) Barabara ya TBL-Unga Ltd yenye urefu wa KM 1.2 na gharama
(e) Oljoro-Kisimani Km 4
(f) Kijenge-Usa River (Nelson Mandela) Km 2 yenye gharama 1.481
(g) Unga-Ltd- Dampo Km 5.9 kwa sh. Bilioni 8.584.
Sekta ya Ardhi
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Sanduku la Barua: 3050 Arusha
Simu: 27 254 5608
Simu Nyingine: 027 254 4950
Barua Pepe: ras@arusha.go.tz
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa