Malengo ya jumla ya Serikali ya Awamu ya Tano katika sekta ya kilimo ni kukifanya kilimo kuwa cha kisasa na cha kibiashara na chenye tija ili kuhakikisha kuwa Taifa letu linajitosheleza kwa chakula, kuimarisha uchumi, kuongeza kipato cha mkulima, kuwa kichocheo cha kukua kwa viwanda na kuongeza ajira. Katika muktadha huo, Mkoa wa Arusha umetekeleza mikakati ifuatayo:
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.