• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Minerals

Mkoa wa Arusha umebarikiwa kuwa na madini ya aina mbalimbali kulingana na hali ya kijiolojia. Kati aina ya miamba hiyo saba (7) aina nne za miamba zinapatikana katika mkoa wa Arusha.

Kuna ukanda wa Mozambique belt ambao ni maarufu kwa madini ya vito kama vile Ruby, anyolite, corundum, Rhodolite, Green Garnets, Red garnets, sperssartite,Tourmaline, Emeralds, sunstones, moonstones, Aventurine Quartz, aquamarine na Kinywe na miamba chokaa n.k.

Kuna ukanda wenye miamba ya volcano na bonde la ufa ambako kuna ya Niobium (Rare Earth Elements) Apatite, zeolites, Florite, Bentonite, gesi ya Helium pozzolana (Madini ya Viwandani) na madini ujenzi.

Mkoa wetu wa Arusha wenye ukubwa wa Kilometa za mraba 37,576 una jumla ya

  • leseni 796 za uchimbaji mdogo yaani Primary Mining Licences,
  • leseni 4 za uchimbaji wa kati, Mundara Ruby mine 2, Ravji Aggregate 1 na Arucon 1 yaani Mining Licences.
  • leseni 42 za utafiti yaani PLs
  • Leseni 1 ya uchenjuaji.
  • Maombi ya Brokers Licence 186
  • Maombi ya Dealers Licence 99 kati ya maombi hayo 80 ameshapatiwa leseni.

Pamoja na utalii, Vilelvile umekuwa ni kitovu cha biashara ya madini hasa ya vito. Madini hayo yanatoka ndani ya Mkoa au nje ya Mkoa  kama vile, Manyara, Tanga, Morogoro, Lindi na Ruvuma. Pia hata nchi za nje kama Ethiopia, Mozambigue, Zambia na Congo.

Umaarufu huu wa mkoa wa Arusha umejengeka kwa Zaidi ya miaka 30 iliyopita. Kwa kipindi cha mwaka wa Serikali 2018/19, Ofisi ya Madini Arusha ilikuwa na:

  • Wafanyabiashara wakubwa wa madini 97 yaani Dealers.
  • Wafanyabiashara wadogo wa madini 291 yaani Brokers.  ARUGEBA 783, TASGEDO 500.

Takwimu za biashara ya madini kwa Mkoa wa Arusha kwa mwaka 2018/19 (Yaani tangu July 2018 mpaka 30 June 2019) zinaonesha kuwa madini yenye thamani ya 21,074,505,883.43 TZS yaliuzwa na mrabaha uliopatikana ni 764,385,283.88 TZS na Ada ya ukaguzi 208,653,073.56 TZS.

Takwimu hizi zinaonesha kuwa mapato yanayokusanywa kutokana na biashara ya madini Mkoani Arusha ni asilimia 40% ya maduhuli yote katika sekta ya madini mkoani Arusha.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.