1.Mwananchi anatakiwa kujiandikisha kwenye daftari ya malalamiko
2.Malalamiko yote yatasikilizwa na msaidizi wa Mkuu wa Mkoa.
NB:
kabla ya wananchi kuleta malalamiko yake katika ofisi ya mkuu wa mkoa anatakiwa awe ameshapitia ngazi nyingine za serikali za chini, kama vile, serikali ya kijiji na ofisi ya mkuu wa wilaya husika.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.