• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AHIMIZA WANANCHI KUSIKILIZWA, KUTATULIWA KERO ZAO, MSAADA WA KISHERIA WA MAMA SAMIA.

Posted on: April 1st, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameagiza watoa huduma za msaada wa kisheria kwenye kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia, kuhakikisha kuwa wananchi wote waliofika kupata msaada wa kisheria wanasikilizwa na kutatuliwa changamoto zao kikamilifu.



Rc Makonda ameyasema hayo leo Machi 01, 2025 wakati akizungumza na wananchi mbalimbali  waliofika katika Banda la Wizara ya Katiba na Sheria kupata msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Samia  Legal Aid Campaign inayotolewa viwanja vya TBA, ikiwa ni siku ya kwanza ya zoezi hilo Mkoani Arusha.



Mhe. Makonda amesema wananchi wanaofika katika banda hilo wanatakiwa kusikilizwa na kuhudumiwa ili waweze kutoa malalamiko yao ikiwemo kuangalia kwa makini changamoto zao hususani katika idara ya kazi, sheria, haki za watoto na mengineyo.



Mhe. Makonda ametumia fursa hiyo pia kuwasihi wananchi wa mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupatiwa msaada huo wa kisheria ili migogoro yao iweze kutatuliwa kupitia uwezeshaji uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan uliotokana na wazo lake hili la kuwa na kampeni ya kitaifa ili kuwafikia wananchi wanyonge na wale wanaokosa haki zao kulingana na sheria.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • NDOTO YA RAIS SAMIA KWA ARUSHA: KUITUMIA FURSA YA UTALII KUINUA UCHUMI WA MKOA

    June 14, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeagizwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato

    June 13, 2025
  • WILAYA YA KARATU YATAKIWA KUIMARISHA USAFI NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    June 12, 2025
  • WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI.

    June 11, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.