Posted on: November 25th, 2023
OR-TAMISEMI
Jumla ya watahiniwa 1,092,960 sawa na asilimia 80.58 ya watahiniwa 1,356,296 wenye matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 wamefaulu ambapo wamepata madaraja ya A, ...
Posted on: November 24th, 2023
Rais wa Somalia, Mhe. Hassan Sheikh Mohamud, ameondoka nchini, jioni ya leo, na kusindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K.Mongella, kupitia uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA...
Posted on: November 24th, 2023
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, ameondoka nchini jioni ya leo, na kusindikizwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe, akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K.Mong...