Posted on: August 28th, 2023
Balozi wa Ethiopia Nchini Tanzania Mhe.Shibru Mamo Kedida leo tarehe 28/08/2023 amefanya ziara Mkoani Arusha na kupokelewa na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasimali Watu Bwana.David F.Lyamongi.
...
Posted on: August 28th, 2023
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Mary Masanja(kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha CPA Ramadhan Madeleka (kulia) pamoja na Rais wa Shirikisho la Mif...
Posted on: August 26th, 2023
Jumla ya washiriki 56 wa Mafunzo ya Mfumo Mpya wa Manunuzi ya Umma kwa njia ya Kielekroniki (NeST) Mkoa wa Arusha wamehitimu Mafunzo ya siku tano kwa Mafanikio.
Akifunga Mafunzo hayo Katibu Tawala ...