Posted on: December 21st, 2021
Mkoa wa Arusha umepewa dhamana ya kusimamia maadhimisho ya mpango harakishi na shirikishi awamu ya pili ya uhamasishaji na utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 Kitaifa.
Akizungumza katika semina elekezi kw...
Posted on: December 17th, 2021
Timu ya wanawake Mkoa wa Arusha yaibuka kidedea kwenye mashindano ya Taifa Cup kwa kuichapa timu ya wanawake ya Dar es Salaam.
Hongera sana.
...
Posted on: December 16th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella ameziagiza Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha kuendelea kusimamia miradi mingine ya maendeleo.
Ameyasema hayo alipokuwa akikabidhiwa madarasa 9 yalikamilika...