Posted on: December 6th, 2019
Vijana wa Kujitolewa isaidieni serikali kuhamasisha wananchi wajiunge na mfuko wa jamii wa bima ya afya (CHF) ili kuwasaidia wananchi waweze kupata matibabu bora na kujenga afya zao.
Ameyazungumza ...
Posted on: October 29th, 2019
“Tutamtumia mrembo wa Dunia katika kutangaza utalii wa nchi yetu ili Dunia nzima ijue Tanzania kuna vivutio vizuri vya utalii ambavyo vitavuta watalii wengi kuja nchini kwetu”.
Yamesemwa hayo na wa...
Posted on: October 18th, 2019
Wazazi na walezi wametakiwa kuachana na dhana potofu, badala yake, kuwapeleka watoto wenye umri wa miezi tisa mpaka miaka mitano, kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio, Surua-Rubela kwa kuwa chanjo ...