Posted on: October 20th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Idd Hassan Kimanta, ameishauri Bodi ya shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kutoa huduma illiyo bora kwa wananchi na mapema.
Ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo kw...
Posted on: October 10th, 2020
Wafanyakazi serikalini wametakiwa kuheshimiana bila kujali vyeo vyao walivyonavyo katika nafasi zao.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Iddi Hassan Kimanta, alipokuwa akizindua baraza jipya l...
Posted on: October 3rd, 2020
Wazazi na walenzi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia Sera na Miongozo ya ulinzi wa watoto ili kujenga kizazi kinachojiamini na kujitambua katika ujenzi wa Taifa letu.
Ameyasema hayo Mkuu wa Mkoa wa...