Posted on: July 17th, 2020
“Nendeni mkasimamie fedha zote za miradi ya maendeleo zinazoletwa na serikali katika maeneo yenu”.
Yamesemwa hayo na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Kimanta alipofanya kikao kazi na watumishi...
Posted on: July 16th, 2020
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daktari Wedson Sichawe amewataka wazazi na walezi wote wenye Watoto chini ya miaka 5 kuwapeleke Watoto wao kupata chanjo mbalimbali.
Ameyasema hayo alipokuwa akifungua...
Posted on: July 15th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Idd Kimanta amewataka madereva wote wa mkoa wa Arusha kuzingatia sheria za barabarani pindi wanapokuwa wanaendesha vyombo nya moto.
Amezungumza hayo alipofanya kik...