Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amewasili mkoani Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA. Amos Gabriel Makalla, kwenye kiwanja cha Ndege cha Arusha, jioni ya leo Oktoba 14, 2025.



Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa